Posts

Showing posts from August, 2024

Yanga haikamatiki

Image
 Yanga imekuwa timu toshio kwa sasa barani Africa. Hii imetokana na ubora wa benchi la ufundi, uongozi wenye maono ya mbali, kuwa na wachezaji bora bila kusahau mchezaji wa 12 ambaye shabiki ambaye pia amekuja na mchango mkubwa katika mafanikio ya timu.